• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

TAASISI ZINAZOJIHUSISHA NA KUDHIBITI VVU NA UKIMWI MANISPAA YA KINONDONI ZATAKIWA KUONGEZA NGUVU KATIKA KUTOA ELIMU JUU YA WATU KUJUA NA KUPIMA AFYA ZAO.

Posted on: March 9th, 2018

 Mashirika na taasisi mbalimbali zinazojihusisha na masuala ya kupunguza Kasi ya maambukizi ya VVU Manispaa ya Kinondoni yametakiwa kuhakikisha yanaongeza nguvu katika kutoa elimu kwa jamii juu ya masuala ya kupima na kujua afya zao mapema. 

 Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa kamati ya kudhibiti ukimwi  Manispaa hiyo Mh George Manyama alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea taasisi zinazojihusisha na maswala ya kupunguza maambukizi ya VVU. na UKIMWI ambapo taasisi ya JHPIEGO na ICAP zimetembelewa. 

 Amesema  wananchi bado wanahitaji  elimu ya kutosha ili waweze kuishi kwa kuzingatia misingi na masharti  katika kuzilinda afya zao ambapo  amebainisha mashirika mengi kuweka nguvu katika kujua takwimu za Watu waliopata maambukizi na wasiopata maambukizi hali isiyotoa nafasi kwao kuijua afya yake na kujilinda. 

 Kwa upande wake Mratibu wa  kudhibiti ukimwi Manispaa ya Kinondoni ( CHAC), Bi Rhobi Gwesu amesema ipo changamoto kwa baadhi ya makundi ya jamii ambayo hayana uelewa wa kutosha kuhusiana na virusi vya ukimwi na ukimwi wenyewe.

 Amelitaja kundi hilo kuwa ni kundi la walemavu,na  hivyo Manispaa imejipanga kutoa elimu zaidi ya maswala hayo ya vvu na Ukimwi ili waweze kujilinda. 

 Kamati ya kudhibiti maambukizi ya VVU (Ukimwi) Manispaa ya Kinondoni inashiriki kikamilifu katika kufikia lengo la Kimataifa la watu asilimia 90 kujua hali zao za kiafya, Asilimia 90 wanaoishi na VVU kuwa wafuasi wa dawa za kupunguza makali na Asilimia 90 ya wanaotumia dawa waweze kufubaza makali ya ukimwi kufikia mwaka 2020.

 Imetolewa na
 Kitengo Cha Habari na Uhusiano
 Manispa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki