• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

Posted on: December 22nd, 2020

Hali hiyo imebainika wakati  Naibu waziri wa Ajira, Kazi na Vijana Mhe Patrobas Katambi alipofanya ziara kutembelea vikundi vya vijana vilivyokopeshwa vitendea kazi vinavyowasaidia katika shughuli zao za ujasiriamali.

Amesema kwa kumpatia kijana kifaa ni uamuzi mzuri unaomwepusha kutumia fedha kinyume na utaratibu na kumuondolea  tamaa za matumizi mabovu hali inayompelekea kutokukamilisha malengo mahususi

"Niwapongeze pia kwa ajili ya eneo hili la utoaji mikopo, Kinondoni mmeweza kwa kuhakikisha mnasimamia taratibu, Sheria, kanuni na miongozo invyoelekeza kuhusiana na suala hili ngazi kwa ngazi kwani mchakato unaanzia ngazi ya chini hali inayopelekea kupata watu sahihi zaidi wa kuwapatia fedha hizi" Ameongeza Mhe Katambi

Akiwa Katika kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi cha EZEMA, Naibu waziri huyo ameridhishwa na bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo na kuahidi kuwa balozi wa bidhaa hizo popote atakapokwenda.

Aidha amewataka vijana wa kiume kujitokeza kwa wingi kutumia fursa hii kwani takwimu za Sasa zinaonesha kuwa idadi ya wanawake wanaojitokeza kuchukua mikopo ni kubwa zaidi ukilinganisha na vijana.

Awali akitoa Taarifa ya utoaji wa mikopo kwa wanawake, vijana na walemavu, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Kinondoni, Bi Halima Kahema amesema wameamua sasa kukopesha vifaa, na viwanda vidogo ili kuwawezesha wajasiriamali kwenda moja kwa moja kwenye uzalishaji.

Kadhalika amebainisha kuwa kwa mwaka 2017 wamefanikiwa kukopesha zaidi ya vikundi 5000 na kuwa kwa mwaka huu wa fedha wameshatoa mikopo kwa vikundi 202 ambapo wamepata kiasi cha shilingi Bil 1.3 .

Naibu waziri akiwa amembatana na Kamishna wa Kazi nchini ametembelea kikundi cha kutengeneza juisi cha Emitote na kikundi cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha EZEMA.


Imeandaliwa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 07, 2021
  • NI KINONDONI TENA UFAULU WA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 MKOA WA DAR ES SALAAM

    December 24, 2020
  • NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

    December 22, 2020
  • HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE

    December 22, 2020
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki