• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kinondoni Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • Mission and Vision
    • History
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Madiwani
    • Departmments
      • Human Resources and Personel
      • Trade and Finance
      • Urban Planning and Land Development
      • Community Development
      • Health
      • Secondary Education
      • Pre-primary and Primary Education
      • Internal Auditor
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock
      • ICT
      • Units
        • Legal
        • Internal Auditor
        • Procurement
      • Planning and Statistics
      • Water and Sanitation
    • Organization Structure
    • Services
    • Madiwani
    • Mkurugenzi
    • Wards
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Brochures
    • By laws
    • Budgets
  • Media Center
    • Press Release
    • Hotuba
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • News letter
  • Procurement
    • Matnagazo ya Zabuni
    • General Procurement Notice
    • Publication of Tender Awards 2016/17
    • Annual Procurement Plan
  • Kodi za Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Miradi iliyomalizika
  • Vituo vya Kukusanyia Mapato

MTOTO AKILINDWA NA KUTHAMINIWA IPASAVYO NI HAZINA KUELEKEA UCHUMI WA KATI WA VIWANDA

Posted on: June 14th, 2018

Ni kauli yake Mh Phares Lupomo,Diwani Kata ya Mbezi juu alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yenye kauli mbiu isemayo "Kuelekea uchumi wa kati wa viwanda, tusimwache nyuma mtoto " yaliyofanyika katika kata yake ya Mbezi juu,  kwa kuwahusisha watoto katika michezo mbalimbali .

Amesema, lengo la maadhimisho hayo pamoja na vitu vingine ni kumuunganisha, kumchochea na kumkumbusha mzazi wajibu wake kwa mtoto ambaye ndiye taifa tegemezi kuelekea uchumi wa kati wa viwanda.


"Tulipofikia hapa Kama viongozi tunatakiwa kukumbuka kwamba nasi pia tulikuwa watoto hivyo nawaomba wadau wote tuungane pamoja kuwaandalia kesho njema watoto wetu kwa kujali, kulinda na kuwapa stahiki zao za msingi leo" .Amesema Mh Phares.

Naye Afisa Maendeleo ya jamii wa Kata hiyo Bi Julieth J Nzugika amewasihi wazazi na wanajamii kwa ujumla kuzingatia ,kuheshimu na kuzidumisha haki za watoto ili waweze kufikia ndoto zao.

Amezitaja haki hizo kuwa ni kulindwa, kupewa elimu bora, kuwa na malazi salama na kusikilizwa, ambavyo ndio msingi imara utakaomwezesha mtoto kujitambua na kujithamini  kufikia ndoto anayoitazamia kwa maisha ya sasa na ya baadae.


Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Announcements

  • Viongozi watakiwa kuhudumia wananchi bila kujali Itikadi zao March 22, 2017
  • Mashamba na Viwanja Vyote Kinondoni Kupimwa March 23, 2017
  • Maombi ya Mhula mpya wa leseni za vileo March 31, 2017
  • Tangazo kuhusiana na wananchi waliokutwa na mradi wa upimaji wa viwanja mabwepande. April 06, 2017
  • Tazama zote

Latest News

  • RAI YATOLEWA KWA MASHIRIKA YA UMMA, NA BINAFSI KUSHIRIKI KAMPENI YA UCHANGIAJI UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KINONDONI

    February 07, 2019
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA KINONDONI(CMAC),YASHIRIKI MAFUNZO YA SIKU TATU KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE

    February 07, 2019
  • WANANCHI KINONDONI WAMETAKIWA KUJENGA MAZOEA YA KULIPA KODI KILA MWAKA

    February 03, 2019
  • WITO WATOLEWA KWA ASASI ZA KIRAIA KUSHIRIKI KAMPENI YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA ELIMU KINONDONI

    January 30, 2019
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Related Links

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    simu: +255 22 2170173

    Mobile:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • FAQ
    • Ramani ya Tovuti
    • Service

Hatimiliki