• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH PAUL MAKONDA ARIDHISHWA NA HATUA ZA UJENZI -MAJENGO YA UTAWALA

Posted on: May 16th, 2018

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda ameonesha kuridhika kwake na hatua  za ujenzi wa majengo ya utawala ya shule za msingi na sekondari, yanayoendelea kujengwa ikiwa ni awamu ya kwanza ya ujenzi wa takribani majengo 402, yanayotarajiwa kujengwa Mkoa wa Dar es salaam nje ya bajeti ya Serikali.

Hayo yamethibitika leo alipokuwa akikagua ujenzi wa jengo la utawala lenye ofisi nne,matundu ya vyoo pamoja na bafu, katika shule ya Sekondari Makumbusho ambapo ujenzi huo umekamilika.

Amesema dhamira yake ya dhati, pamoja na Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr. John Pombe Magufuli ni kuona Mazingira ya waalimu wetu yanaboreshwa, hali itakayopelekea hari kubwa ya ufundishaji na kuleta matokeo chanya ya ufaulu kwa wanafunzi wetu.

Akionesha msisitizo wa azma yake hiyo nzuri amesema "lengo ni kujenga majengo ya utawala 402, ambapo 107 ni majengo ya utawala ya Sekondari, na 295 ni majengo ya utawala ya shule za Msingi,  Kazi hii ya ujenzi haihitaji shukrani, bali shukrani ziende kwa Mungu, fanyeni kazi kwa faida ya Tanzania " amesema Makonda

Naye Katibu wa kamati ya ujenzi wa ofisi za waalimu Mkoa wa Dar es salaam, ambaye pia ni Afisa elimu wa Mkoa Mwalimu Khamis Lissu, amesema kwa sasa yanahitajika matofali milioni mbili, laki mbili na ishirini elfu, hadi majengo hayo kukamilika, na kuwataka wadau wa elimu kujitokeza kwa wingi kuchangia ili waweze kufanikisha azma hiyo.

Akitoa neno la shukrani, Afisa elimu Sekondari wa Manispaa hiyo, Ndg Rodgers Shemwelekwa amesema huo ndio uongozi unaoacha alama na ni mbegu inayoendelea kuchipua na isiyokufa katika sekta ya Elimu kwa kuthamini mchango unaotolewa kwa kutujengea majengo hayo ya utawala, na kuahidi kuyatunza kwa matumizi sahihi ili yalete tija kwa wanafunzi na Taifa la Tanzania kwa ujumla.

Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa wa Dar es salaam amewatakia watanzania wote mfungo mwema wa Mwezi mtukufu wa Ramadhan, na kuwaahidi usalama na utulivu katika kipindi chote cha Mfungo huo wa Ramadhan.


Imeandaliwa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 07, 2021
  • NI KINONDONI TENA UFAULU WA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 MKOA WA DAR ES SALAAM

    December 24, 2020
  • NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

    December 22, 2020
  • HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE

    December 22, 2020
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki