• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

KINONDONI YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA USTAWI WANAFUNZI

Posted on: September 11th, 2020

Kinondoni kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii kimeendesha mafunzo kwa maafisa ustawi  73 yanayohusu kuwajengea uwezo, ikiwa ni pamoja na kusimamia misingi na weledi unaoenda sambamba  na usimamizi wa Sheria katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.

Akifungua mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa DMDP, Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dkt Samwel Laizer amesema kuwa mafunzo hayo Ni msingi madhubuti utakaowaongoza  katika kutekeleza majukumu yao katika Kata 20 za Halmashauri yetu ikiwa ni pamoja na vituo vya kutolea huduma za afya.

Amesema kazi ya ustawi wa jamii inahitaji weledi na uvumilivu wa hali ya juu kwani ni kazi ambayo muhusika hukutana na makundi mbalimbali ya watu ambapo wengi wao wanakuwa wanapitia changamoto tofauti za maisha.

"Hii kazi inahitaji kujitolea, wakati mwingine  ni kazi ya wito, mtakapokutana na changamoto mbalimbali  kwenye kutimiza majukumu yenu tutakuwa pale kuwasaidia ili nanyi muweze kupata kitu Cha kujifunza"

Naye Afisa ustawi wa jamii Manispaa ya Kinondoni,  Bi Judith Kimaro alipozungumza  amesisitiza umakini na usikivu katika kuzingatia matumizi ya lugha wakati wa  kutimiza majukumu yao kwani watakutana na makundi mbalimbali ya wahitaji huku akiwataka kuibua watoto wenye ulemavu wanaofichwa majumbani kwa dhana na Imani potofu, ili waweze kupatiwa haki zao za msingi.

Aidha amewataka kuzingatia suala la mavazi yenye staha, kwani ndio msingi imara wa utekelezaji wa majukumu yao unaoenda sambamba na nidhamu makazini,  utakaorahisisha uwajibikaji katika sekta hiyo.

Imeandaliwa na

Kitengo cha habari na uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki