• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kinondoni Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • Mission and Vision
    • History
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Madiwani
    • Departmments
      • Human Resources and Personel
      • Trade and Finance
      • Urban Planning and Land Development
      • Community Development
      • Health
      • Secondary Education
      • Pre-primary and Primary Education
      • Internal Auditor
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock
      • ICT
      • Units
        • Legal
        • Internal Auditor
        • Procurement
      • Planning and Statistics
      • Water and Sanitation
    • Organization Structure
    • Services
    • Madiwani
    • Mkurugenzi
    • Wards
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Brochures
    • By laws
    • Budgets
  • Media Center
    • Press Release
    • Hotuba
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • News letter
  • Procurement
    • Matnagazo ya Zabuni
    • General Procurement Notice
    • Publication of Tender Awards 2016/17
    • Annual Procurement Plan
  • Kodi za Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Miradi iliyomalizika
  • Vituo vya Kukusanyia Mapato

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA KINONDONI(CMAC),YASHIRIKI MAFUNZO YA SIKU TATU KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE

Posted on: February 7th, 2019

NI KWA LENGO LA  KUWAONGEZEA UELEWA  WASHIRIKI  KUHUSIANA NA MKAKATI WA NNE WA KITAIFA WA  KUPAMBANA NA VVU NA UKIMWI (NMSF IV 2018-2022/2023)

Mafunzo hayo yaliyofanyika  kwa siku tatu katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam, yamelenga kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati ya kudhibiti VVU na UKIMWI ya Manispaa hiyo (CMAC), ikiwa ni pamoja na  kukumbushana wajibu na  majukumu yao katika harakati za mapambano dhidi ya UKIMWI.

Akiongea wakati wa ufunguzi, Mratibu wa kudhibiti UKIMWI upande wa kinga wa Manispaa hiyo(CHAC),  Bi Rhobi Gwesso amesema Manispaa imeona ni budi kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati ya kudhibiti UKIMWI ya Manispaa (CMAC)  ili waweze kuwa na elimu sahihi watakayoweza kuisamabaza kwa wananchi katika kata zao, na Katika makundi ambayo wanayawakilisha ili waweze kujiepusha na maambukizi na kukabiliana nayo.

Akitoa ufafanuzi juu ya mkakati wa nne wa kitaifa wa kudhibiti VVU na UKIMWI  Mwezeshaji kutoka Tume ya kudhibiti UKIMWI nchini Tanzania (TACAIDS) Bw Delfinus Kivenule amesema, mkakati huo umeandaliwa ili kutoa miongozo kwa sekta mbalimbali katika kupanga na kutekeleza afua za VVU na UKIMWI pamoja na kutafsiri sera ya Taifa kuhusu VVU na UKIMWI kwa vitendo na kuwaongoza wadau katika mwitikio wa Taifa wa kudhibiti VVU na UKIMWI.

Mada mbalimbali ambazo zimewasilishwa Katika mafunzo hayo ni pamoja na Mkakati wa nne wa taifa wa kudhibiti UKIMWI, Muundo wa Kamati ya kudhibiti UKIMWI ngazi ya Mtaa,  Kata na Wilaya, Wajibu na majukumu ya Kamati shirikishi za kudhibiti UKIMWI ngazi yamtaa,  Kata na Wilaya (MACS, WMACS NA CMAC) ,

Nyingine ni  Uongozi na ubia Katika mwitikio wa VVU, Ukweli kuhusu UKIMWI, kifua kikuu na homa ya ini, mawasiliano kuhusu UKIMWI na tafsiri ya Sheria ya kudhibiti VVU na UKIMWI nchini Tanzania ya mwaka 2008.


Mafunzo hayo yaliyoanza tar 4 -6 mwezi wa pili 2019, yamehusisha Kamati shirikishi za kudhibiti UKIMWI ikiwa ni pamoja na waheshimiwa Wabunge, Mstahiki Meya wa Manispaa, Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa, Wajumbe wakaribishwa toka kwenye uwakilishi wa jamii pamoja na wataalam wa Idara mbalimbali za Manispaa.

Imeandaliwa na

kitengo Cha Habari na uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Announcements

  • Viongozi watakiwa kuhudumia wananchi bila kujali Itikadi zao March 22, 2017
  • Mashamba na Viwanja Vyote Kinondoni Kupimwa March 23, 2017
  • Maombi ya Mhula mpya wa leseni za vileo March 31, 2017
  • Tangazo kuhusiana na wananchi waliokutwa na mradi wa upimaji wa viwanja mabwepande. April 06, 2017
  • Tazama zote

Latest News

  • RAI YATOLEWA KWA MASHIRIKA YA UMMA, NA BINAFSI KUSHIRIKI KAMPENI YA UCHANGIAJI UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KINONDONI

    February 07, 2019
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA KINONDONI(CMAC),YASHIRIKI MAFUNZO YA SIKU TATU KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE

    February 07, 2019
  • WANANCHI KINONDONI WAMETAKIWA KUJENGA MAZOEA YA KULIPA KODI KILA MWAKA

    February 03, 2019
  • WITO WATOLEWA KWA ASASI ZA KIRAIA KUSHIRIKI KAMPENI YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA ELIMU KINONDONI

    January 30, 2019
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Related Links

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    simu: +255 22 2170173

    Mobile:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • FAQ
    • Ramani ya Tovuti
    • Service

Hatimiliki