• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

DC CHONGOLO APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KUTOKA KAMPUNI YA SPORT PESA

Posted on: March 30th, 2020

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepokea vifaa vya kunawia mikono (zaidi ya ndoo 100) pamoja na Vitakasa mikono kutoka mtandao wa kubashiri wa SportPesa kwa lengo la kuwasaidia wananchi kujikinga na maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na Virusi vya COVID 19 (Corona).

Vifaa hivyo vya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona vimepokelewa na Mkuu wa Wilaa hiyo Mhe. Daniel Chongolo ,akiwa ameambatana na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dk. Patricia Henjewele, Mganga Mkuu Samweli Laizre pamoja na Katibu Tawala Bi Stella Msofe.

Akizungumza wakati wakupokea vifaa hivyo,  Mhe. Chongolo amesema kuwa Kinondoni imepokea vifaa hivvyo na kwamba wataendelea kuhamasisha wadau wengine waweze kuchangia ili kuendelea kudhibiti ugonjwa huo usisambae kwenye maeneo mengine.

Amefafanua kuwa Virusi vya Corona vimekuwa  janga kubwa Duniani na kwamba Wilaya hiyo imejipanga kuhakikisha kuwa kila mmoja anatumia vitakasa hivyo ili kujikinga na maambukizi ya Virusi hivyo pasipo kuambukiza wengine.

“Kama mkuu wa Wilaya ninashukuru kwa msaada huu, kwetu utasaidia  kwa sababu ofisi zote za Serikali za mitaa na Kata zitapata seti za vifaa hivi, tutakuwa huru kwa kuendelea kutoa huduma kwa wananchi kama kawaida, ndio mana mmeona hapa kila anaeingia ana nawamikono yake kabla ya kuingia kupatiwa huduma” amesema Mhe. Chongolo.

 Mhe. Chongolo ameongeza” kwetu sisi hatupambani kama Kinondoni, tunapambana kama mkoa ,nandio jukumu tulilopewa , hivyo hivyo nitumie fursa hii kuwaalika wadau wengine wenye mapenzi mema kutupatia vifaa vingine.

 Mhe. Chongolo ameeleza kuwa Wilaya hiyo imejipanga vizuri katika kupambana na virusi vya Corona ikiwemo kuendelea kutoa matangazo ya kuhamasisha na kuelimisha wananchi namna ya kujikinga na maambukizi ya virusi hivyo.

Kwaupande wake Mkurugenzi wa uendeshaji kampuni ya SportPesa nchini, Abbas Tarimba, amesema kuwa ndoo hizo zakunawia mikono  zitasaidia wananchi ikiwa ni hatua ya kujikinga na virusi hivyo vya homa ya mapafu inayosababishwa na Covid 19.

Imeandaliwa na Kitengo Cha Habari na Uhusiano

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.

  

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 07, 2021
  • NI KINONDONI TENA UFAULU WA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 MKOA WA DAR ES SALAAM

    December 24, 2020
  • NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

    December 22, 2020
  • HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE

    December 22, 2020
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki