• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: January 7th, 2021

Baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake Mhe.Songoro Mnyonge limeipitisha taarifa hiyo ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo robo ya kwanza Julai hadi Septemba 2020/2021 katika kikao cha baraza kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa.

Akipitisha taarifa hiyo Mhe.Songoro amesema taarifa hii ya utekelezaji ni ile ya bajeti  inayomalizika miezi michache ijayo hivyo imetekelezwa kwa kiwango cha kuridhisha na kuwataka Madiwani kuorodhesha mahitaji yao katika bajeti ijayo ya 2021/2122.

"Mimi niwashauri Wahe.Madiwani bajeti tunayotekeleza sasa tumeikuta, imebakiza miezi michache, lakini mchakato wa kuandaa bajeti ijayo tayari umeshaanza katika ngazi ya Halmashauri, hivyo niwaombe Wahe.madiwani twende tukapitie mipango yetu ili tuiingize kwenye mpango wa bajeti" Amesema Mstahiki.

Akiwasilisha taarifa hiyo ya utekelezaji katika kikao cha Baraza hilo Katibu wa kikao hiko ambaye pia ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Ndg Aron Kagurumjuli amesema kwa mwaka wa fedha 2020/2021 Manispaa ilipanga kutumia jumla ya shilingi takribani Bilioni 30.5 kwa ajili ya  utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Amesema fedha hizo zimetokana na vyanzo mbalimbali na kuvitaja kuwa ni mapato ya ndani ya Halmashauri, ruzuku kutoka Serikali kuu pamoja na nguvu ya jamii.

Katika kikao hicho cha baraza Wahe.Madiwani ambao ni wenyeviti wa kamati za kudumu pia walipata fursa ya kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za kamati zao.

Taarifa zilizowasilishwa  katika baraza hilo ni za kamati za kudumu robo ya kwanza Julai hadi Septemba 2020/2021 ambazo ni taarifa za huduma za Uchumi afya na Elimu, taarifa za kamati ya mipangomiji na mazingira, taarifa za kamati ya kidhibiti UKIMWI, taarifa za Kamati ya maadili na taarifa za Kamati ya fedha na Uongozi.

Imeandaliwa na:

Kitengo Cha Habari na Uhusiano.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 07, 2021
  • NI KINONDONI TENA UFAULU WA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 MKOA WA DAR ES SALAAM

    December 24, 2020
  • NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

    December 22, 2020
  • HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE

    December 22, 2020
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki