IDARA YA UTAWALA NA UTUMISHI.
Idara ya utawala na Utumishi Manispaa ya Kinondoni ni moja ya idara inayoshughulikia maslahi ya wafanyakazi yenye jumla yawafanyakazi 4,843 kutoka idara mbalimbali.
MAJUKUMU YA IDARA YA UTAWALA.
• Kushughulikia ajira na vyeo vya watumishi.
• Kuratibu shughuli za mafunzo kwa watumishi.
• Kushughulikia Mikopo kwa watumishi katika Taasisi za Kifedha.
• Kushugulikia maslahi mbalimbali ya watumishi-kuandaa mishahara kwa kutumia mfumo wa GSPP.
• Kuandaa bajeti ya Mishara (PE).
• Kuingiza na kurekebisha taarifa mbalimbali za watumishi kwenye mfumo wa taarifa za watumishi (HCIMS).
• Kusimamia zoezi la upimaji utendaji Kazi.(OPRAS).
• Kusimamia Ikama na TANGE ya watumishi wote.
• Kuratibu mashauri ya nidhamu kwa watumishi.
• Kuratibu shughuli za vikao na Mikutano.
• Kuratibu shughuli za Kata na Mitaa.
• Kuratibu maslahi ya viongozi wa kuchaguliwa (Madiwani).
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz