• Usimamizi na Ukaguzi wa nyumba za kulala wageni na
• Utozaji wa ushuru wa malazi (Hotel levy),
• Utoaji wa mafuzo na ushauri kwa wajasiriamali wadogo na wakubwa.
• Ukaguzi wa leseni zote na biashara,
• Ukaguzi wa Viwanda vidogo na vikubwa.
• Ushiriki na uandaaji wa maonyesho mbali mbali ya biashara.
• Usajili wa Pikipiki, Bajaji na Taxi.
• Kitengo cha Biashara kinahusika pia na Semina mbalimbali zinazotolewa kwa kushirkiana na taasisi mbali mbali za fedha ili kuwawezesha wajasiriamali kupata mikopo, Mfano; Banks, Finca, Pride, TBS n.k
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz