• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

Nawezaje kupata Kadi ya Matibabu (TIKA)

ZIJUE TARATIBU ZA KUPATA TIKA (TIBA KWA KADI)

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imezindua rasmi mpango wa huduma ya tiba kwa Kadi (TIKA) tarehe 25/07/2016. Mpango huo utatumia kadi maalumu ambayo itagharimu Tsh 40,000/=tu kwa mwaka na kukuwezesha kutibiwa mwaka mzima bila malipo ya ziada. Malipo yatafanyika ofisi ya Mganga Mkuu wa Manispaa kitengo cha fedha.

Mpango huu wa TIKA hufaidisha  wanachama wasio na uwezo  kupata  huduma  za  afya zenye gharama kubwa  ingawa  wamelipa kidogo. Makundi  mengine yatakayofaidika na mpango wa TIKA ni pamoja na wazee wasio na uwezo watoto  yatima na walemavu ambao watalipiwa gharama ya kadi  na Halmashauri  pamoja na wadau wengine watakaojitokeza.

TARATIBU ZA KUPATA TIBA KWA KADI (TIKA)

Mtu yeyote mkazi wa Kinondoni anahaki ya kupata Kadi.

1.    Atatakiwa kuonyesha hitaji la kadi hiyo.

2.    Atapewa fomu ya Kujaza, Fomu hiyo inavitu vifuatavyo:-

i.    Maelezo kamili ya Muombaji

ii.    Maelezo ya Usajili

iii.    Uthibitisho wa Msajili.

3.    Baada ya kupata fomu na kujaza, muhusika atapatiwa Invoice kwa ajili ya Malipo.

4.    Malipo yote yanafanyika katika bank ya CRDB kwa Akaunti namba iliyoko kwenye Invoice.

5.    Muhusika atatakiwa kupiga picha katika ofisi ya Mganga Mkuu (Picha hizo ni bure)

6.    Atapewa tarehe ya kuchukua Kitambulisho.


NB: Kadi hii  ya TIKA huitajika kuhuishwa kila mwaka. Malipo hayo  ya Tsh 40,000/= hutumika kwa mwaka mmoja.        



Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE

    February 22, 2021
  • KINONDONI YAENDESHA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

    February 19, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA

    February 18, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA-BARAZA LA MADIWANI

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki