Wednesday 27th, January 2021
@Chuo cha Sheria kilichopo Mkabala na kituo cha basi cha simu 2000
Baraza jipy la Madiwani lililoapishwa tarehe 07/12/2020 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa lenye wajumbe 29, wote kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM),limeendelea kupata semina ihusuyo uelewa wa Uendeshaji wa Serikli za Mitaa.
Mada zinazofundishwa katika Semina hiyo ni Uongozi na Utawala Bora, Uwajibikaji , Majukumu haki na Stahiki za Madiwani, Sheria za Serikali za Mitaa pamoja na Sheria za Manunuzi.
Watoa mada katika Semia hiyo ni Sekretarieti ya Utumishi wa Umma pamoja na wataalam kutoka chuo cha Hombolo
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz