Kutakuwa na Mkutano maalum wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kupitia na kupitisha mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumiziya kawaida na mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019 pamoja na mpango wa muda wa Kati 2018/2019-2020/2021.
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz