...ni, Dovya, Kilungule, Boko, na Basihaya na idadi ya watu kuwa takribani 63,248, na hii ni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012. Aidha amezitaja changamoto zinazoikabili Kata hiyo ya Bunju kuwa ni Uchimbaji wa kokoto na vif...
Akizindua Baraza hilo, Mwenyekiti wake ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema hili ni jukwaa pekee linatoa nafasi ya kukutana na wadau wa sekta binafsi na kujadiliana fursa za kiuchumi ikiwa ni pamoja &n...
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo alipokuwa akiongea na wadau wa sekta binafsi katika Mkutano wa Baraza la Biashara lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa. Amesema ukataji miti kiholela ni...
Baraza hilo chini ya Mstahiki Meya wake Mhe.Songoro Mnyonge limeanza kazi kwa kupitisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Halmashauri katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Octoba 2020. Akitoa hoja ya kupitisha na kuungwa mkono kwa taarif...
Kinondoni kwa kushirikiana na shirika la Engender Health Imeadhimisha siku ya watu wenye ulemavu duniani yenye kauli mbiu isemayo "Si kila ulemavu unaonekana", kwa kutoa huduma za afya ya uzazi bure kwa kundi la watu wenye ulemavu....
...nispaa ya Kinondoni ina ukubwa wa kilomita za mraba 321 . Kwa mujibu wa Sensa ya Taifa ya idadi ya watu na makazi ya mwaka 2012 , Manispaa ya Kinondoni ilikuwa na idadi ya watu wapatao 929,681 . Kutokana na ongezeko la ukuaji wa idadi...