Kamati ya Fedha na Uongozi chini ya Mwenyekiti wake Mstahiki Meya Mhe.Songoro Mnyonge ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mwananyamala leo wamefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi. Kamati hiyo imefanikiwa kutembelea miradi ambayo vyanzo vyake ni mapa...
NI KWA LENGO LA KUBADILISHANA UZOEFU KATIKA UTEKELEZAJI WA MKOPO WA ASILIMIA KUMI Manispaa ya Kinondoni imepokea ujumbe wa watu watano kutoka Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika utendaji wa shughuli za Serik...
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Mhe.Abubakar Kunenge leo alipofanya ziara ya ukaguzi wa kiwanda cha kuchakata taka kilichopo Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni. Amesema eneo hilo enye ekari 14, lilitengwa k...
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana Mhe.Patrobas Katambi mara baada ya kuzuru ofisini hapo kwa lengo la kujiridhisha na masuala ya kisera yanayohusiana na ajira, kazi na vijana. Akiwa ofisini hapo, Nai...
Hali hiyo imebainika wakati Naibu waziri wa Ajira, Kazi na Vijana Mhe Patrobas Katambi alipofanya ziara kutembelea vikundi vya vijana vilivyokopeshwa vitendea kazi vinavyowasaidia katika shughuli zao za ujasiriamali. Amesema kwa kumpati...
Mzee wetu Hayati Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyeasisi jezi ya KMC FC tulipoamua kuwa na timu mnamo mwaka 2012. Zoezi hilo liliongozwa na aliyekuwa Mstahiki Meya Yusuph Mwenda pamoja na Naibu Meya Mhe. Songoro Mnyonge ambaye ndi...
Manispaa ya Kinondoni imeshika nafasi ya kwanza kimkoa na ya pili Kitaifa kwa ufaulu wa asilimia 98.1 matokeo ya darasa la Saba kwa mwaka 2020. Hayo yamebainishwa na Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni Mhe Songoro Mnyonge alipokuwa akiongea...
NI ULE WA UJENZI WA HOSPITALI YA MABWEPANDE KWA GHARAMA YA TSH BILIONI 2.5, MAPATO YAKE YA NDANI HADI KUKAMILIKA KWAKE. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Abubakar Kunenge alipofanya ziara katika Manisp...
Baraza jipya la Madiwani lililoapishwa tarehe 07/12/2020 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa limeendelea kupata semina ihusuyo uelewa wa uendeshaji wa Serikali za Mitaa. Afisa Utumishi Mkuu Bi.Fauzia Nombo akifafanua jambo Ma...
...a Halmashauri nyingine za mkoa wa Dar es salaam. Mhe. Chongolo amefafanua kuwa kupitia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Manispaa ya Kinondoni ina wakazi zaidi ya milioni 1.3, ambapo idadi hiyo inategemea kupata bidhaa za ngozi...