Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni wamepewa wito wa kuchangamkia fursa ya upimaji wa afya zao wakati wa zoezi la upimaji wa afya Wilayani Kinondoni. Zoezi hili limeanza Juni 22, 2024 na litahitimishwa Juni 23, 2024.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.