Zaidi ya Wahudumu 600 wa afya Nchini wametumwa nje ya Nchi kupatiwa mafunzo kwa lengo la kuboresha huduma za afya Nchini.
Hayo yamebainika Februari 22, 2024 katika siku ya pili ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, alipokua akitembelea mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni iliyopo Kata ya Mabwepande.
Mheshimiwa Chalamila alieleza, "Serikali imetuma wahudumu wa afya 600, lengo kubwa likiwa ni kuendelea kuimarisha huduma za afya nchini". Hizi ni jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suhulu Hassan za kuhakikisha tunakuwa na Wataalamu wengi zaidi.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.