Upangaji wa Mtaa wa Mbopo umetakiwa usiache kuwepo kwa maeneo muhimu ya huduma za kijamii.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mheshimiwa, Saad Mtambule, aliyasema hayo Machi 20, 2024 katika Mtaa wa Mbopo Kata ya Mabwepande katika kikao cha utatuzi wa migogoro.
Alisema, "Wananchi wa eneo hili na maeneo jirani mkubaliane na mpango wa Serikali wa upangaji wa Mitaa huku mkizingatia maeneo ya huduma muhimu za kijamii kama Shule, makaburi na Zahanati."
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.