Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb) amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuwajibika kwa wananchi.
Mheshimiwa Mchengerwa ameyasema hayo leo Novemba 25, 2023 wakati wa ufunguzi wa ofisi ya Serikali ya Mtaa ya Mkunguni 'A' Kata ya Hananasif ambayo imejengwa na Diwani wa Kata hiyo Mhe. Wilfred Elias Nyamwija kwa gharama ya shilingi milioni 25.
Aidha, Mheshimiwa Mchengerwa amesisitiza watumishi kote nchini kutenda haki, kuepuka rushwa, kuacha ubadhirifu wa fedha sambamba na kujishusha ili kuwasikiliza wananchi ipasavyo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.