"Kwa mara ya kwanza nilipokuwa Waziri wa Afya hakukuwa na idadi kubwa ya magonjwa yasiyo ambukiza kama Kisukari na Shinikizo la damu. Nimerudi kama Waziri wa Afya nimekuta kuna takwimu kubwa za wagonjwa wa magonjwa yasiyoambukiza. Niwaombe wananchi tufanye mazoezi kwa afya zetu" Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya. Aprili 4, 2024 Coco Beach, Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.