Manispaa ya Kinondoni Januari 26, 2024 imetembelewa na Mkurugenzi Msaidizi OR- TAMISEMI Dkt. Paul Chaote na kukagua utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya Hospitali ya Wilaya Mabwepande na Kituo cha Afya Kinondoni.
Katika ziara hiyo Dkt. Chaote aliambatana na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Mohamed Mang'una na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni Dkt. Samwel Laizer.
Dkt. Chaote amepongeza jitihada za Manispaa katika kusimamia miradi ya afya na kuhudumia wananchi.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.