Vikundi na watu mbalimbali vimeendelea kufanya mazoezi ya kila Jumamosi katika Fukwe za Coco kama ilivyotangazwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa kuwa kutakuwa na mazoezi maeneo hayo kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi Saa 3:00 asubuhi sambamba na kufanya usafi katika fukwe hiyo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.