Mazoezi kwa afya yamezinduliwa 04/05/2024 na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa. Uzinduzi huo umefanyika katika Wilaya ya Kinondoni katika Fukwe za Coco ambapo ameagiza mazoezi hayo kufanyika kila Jumamosi.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.