"Tumeona kwa baadhi ya Wapishi wamaopika chakula Mashuleni wanatumia mifuko ya Plastiki katika kuandaa chakula, jambo hilo si nzuri kiafya. Hivyo tumepiga magufuku kwa wote wanaofanya hivyo na kwa baadhi ya Mashule tumewapa barua za onyo na Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu kusimamia hilo ili kulinda afya za watoto wetu".
Hayo yamesemwa Mei 22, 2024 kwenye kikao cha tathmini ya lishe ya robo ya tatu ya mwaka na Afisa Afya wa Manispaa ya Kinondoni Bwn. John Kijumbe kilichokutana kwa ajili ya kufanya tathmini ya utekelezaji wa mpango wa lishe ndani ya Manispaa ya Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.