Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe imefanya mafunzo kwa watoa huduma wa afya ili kuwajengea uwezo wa kutoa matibabu kwa watoto chini ya miaka mitano pamoja na kupunguza vifo vitokanavyo na utapiamlo mkali.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.