Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imefanikiwa kuchanja mbwa 371 na paka 18 ndani ya siku mbili katika zoezi la kutoa chanjo na elimu kuhusu madhara ya kichaa cha mbwa linaloendelea katika Kata ya Bunju.
Aidha wananchi wote wa Kata mbalimbali za Manispaa ya Kinondoni wenye mbwa na paka wametakiwa kuwapeleka kuchanjwa ili kuondokana na madhara ya kichaa cha mbwa.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini: Manispaa ya Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.