Mafunzo hayo yalifunguliwa rasmi leo tarehe 21 Oktoba, 2022 katika Kituo cha Mafunzo ya Kilimo Malolo na mgeni rasmi, Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ndg. Salehe Hija kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni.
Mgeni rasmi aliwaeleza walengwa kuwa vitamini A husaidia kuboresha mfumo wa kinga mwilini, afya macho, ngozi, mifupa, meno na ukuaji.
Aidha, Mgeni rasmi aliwasisitiza walengwa wa mafunzo (Kina mama wajawazito na wenye watoto chini ya miaka mitano) hayo kuwa elimu watakayopata katika mafunzo haya wakaifanyie kazi na sio kwao tu bali kwa jamii nzima.
Washiriki wa mafunzo pia walipata fursa ya kujifunza kuhusu:
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.