Mafunzo ya Mfumo wa Dawati la Watumishi - ESS (Employee Self Service) yametolewa kwa Watumishi wa Manispaa ya Kinondoni na Wataalamu kutoka Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Mafunzo hayo yametolewa Februari 6, 2024 katika Ukumbi wa Afya uliopo Manispaa ya Kinondoni.
Lengo la mafunzo hayo ni kuwawezesha Watumishi hao kujaza majukumu yao ya kazi, kufanya utekelezaji wa majukumu hayo pamoja na tathmini kupitia mfumo huo wa kielektroniki.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.