Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni amewataka Wataalamu wa Afya kutoka Manispaa ya Kinondoni kuweka dawa maeneo hayo ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu.
Maagizo hayo yametolewa Aprili 27, 2024 akiwa katika ziara maalumu ya kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika eneo la Mto Ng'ombe Kata ya Ndugumbi.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.