Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yamefanyika Juni 14, 2024 ngazi ya Kata, ambapo Kata ya Kawe katika Kituo cha Afya cha Kawe wakati wa Kliniki ya Wajawazito na Watoto chini ya miaka mitano wamefika kwa ajili ya kliniki.
Mada iliyotolewa ilihusu, "Hatua za ukuaji wa mtoto chini ya miaka 6 ili kumsaidia mtoto kuweza kujiamini, kujifunza na akili kuweza kuwa na uelewa wa haraka [smart brain]. Jumla ya Watoto waliofika Kliniki hiyo ni 77 na huku Wajawazito wakiwa 25 ambapo uelimishaji huo umewafikia Watu 108 wakiwemo wahudumu wa Kituo hicho cha Afya.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.