Wajasiriamali wa eneo la SIDO, Manispaa ya Kinondoni, wamemshukuru Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuwawezesha mitaji kupitia mikopo ya asilimia kumi.
Wajasiriamali hao wanaojihusisha na usindikaji, ushonaji na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali wameelezea kuwa mikopo hiyo imewasaidia kuinuka kiuchumi.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.