Manispaa ya Kinondoni, imetoa misaada yenye thamani ya Shilingi Milioni Tatu kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI.
Misaada hiyo imetolewa leo kwa wanufaika 50 wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI iliyofanyika leo katika Kata ya Makumbusho.
Misaada hiyo ni maharage, unga, sukari, mchele na mafuta vikiwa na thamani ya shilingi milioni tatu.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa ni Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa, Jospeh Rwegasira.
Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini: Manispaa ya Kinondoni
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.