Waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa, Februari 20, 2024 ameipongeza Manispaa ya Kinondoni kwa kushughulikia kero za migogoro ya Ardhi.
Mheshimiwa Silaa alitoa pongezi hizo wakati akizindua zoezi la Ardhi Kliniki linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Bunju A Manispaa ya Kinondoni.
Kadhalika , Mhe. Waziri ametumia fursa hiyo kuwakumbusha Wataalamu wa masuala ya Ardhi kuacha tabia ya kukaa Maofisini na kusema kuwa kesi ya Ardhi inamalizwa shambani na siyo Ofsini.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.