Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi. Stella Msofe Mei 24, 2024 ameongoza kikao kazi cha uwasilishaji wa taariifa ya utekelezaji wa shughuli za lishe kwa kipindi cha robo ya kwanza kwa mwezi Januari hadi mwezi Machi 2024 ikiwa ni moja ya kufanya tathmini ya lishe kwenye Shule zote zilizopo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.