Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Divisheni ya lishe imeendelea na zoezi la kutoa mafunzo ya lishe kwa vitendo katika Kata ya Hananasif ambapo wamefundisha namna ya uandaaji wa chakula kwa kutumia zao la mbaazi.
Katika zoezi hilo huduma mbalimbali za kiafya zimetolewa ikiwa ni pamoja na upimaji wa hali ya lishe kwa watoto chini ya miaka kumi sambamba na kuwapa vidonge vya Vitamini A, upimaji wa presha, urefu na uzito.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.