Kamati ya Lishe na Afya kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongozwa na Mkurugenzi wake Bi. Hanifa Hamza ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Januari 31, 2024 imekutana na kujadili utendaji kazi, utekelezaji na uboreshaji wa huduma za Lishe na Afya kwa Shule za Manispaa hiyo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.