Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa Joseph Rwegasira akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Wajumbe wa Kamati ya Uthibiti UKIMWI ya Manispaa ya Kinondoni Februari 7, 2024 kwa kutambua mchango wake wa utendaji kazi uliotukuka na uratibu mzuri akiwa Mwenyekiti wa kamati hiyo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.