Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake Mhe Kheri Misinga ambae pia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni imetembelea kituo cha kutolea huduma za utengamao kwa watoto wenye ulemavu (ANTONIA VERNA REHABILITATION CENTER ) na kituo kinachofanya huduma za kijamii, afya, watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, elimu ya afya ya uzazi mashuleni na nje ya shule (KINONDONI OUTREACH)
Kamati imepongeza huduma nzuri zinazotolewa katika vituo hivyo na kuahidi kuendelea kushirikiana zaidi na taasisi hizi, na kutatua changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo Katika kutimiza majukumu yao ikiwa lengo ni kuweza kuwafikia walengwa wengi Zaidi.
Imeandaliwa na;
Kitengo cha Habari na Uhusiano
Manispaa ya Kinondoni
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.