Kamati ya Huduma za Uchumi, Afya na Elimu ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kigogo, Mhe Richard Mgana, Agosti 5, 2024 imefanya Ziara katika Kata za Wazo, Kawe na Tandale ili kukagua Ujenzi wa Miradi ya Elimu inayoendelea na ile inayotarajiwa kuanza kutekelezwa.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.