Kamati ya Huduma za Uchumi, Afya na Elimu kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Kigogo Mheshimiwa Richard Mgana, Januari 26, 2024 imefanya ziara ya kutembelea na kukagua kasi ya ujenzi wa miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa ndani ya Manispaa ya Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.