Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, leo Desemba 05, 2023 ameagiza kuundwa haraka kwa Kamati maalum itakayochunguza chanzo cha moto ulioteketeza maduka 30 Mwenge.
Mheshimiwa Chalamila alitoa maagizo hayo baada ya kutembelea na kujionea uharibifu wa moto huo. "Naagiza Kamati itoe haraka majibu ya chanzo cha moto huu, kama kuna hujuma hatua zitachukuliwa haraka kwa atakayebainika," alisema.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.