Hofu na ukimya imetajwa kuwa ni chanzo cha ongezeko la ukatili wa kijinsia hasa kwa Watoto ndani ya jamii. Hayo yalibainishwa Juni 16, 2024 na Mwenyekiti kutoka SMAUJATA Wilaya ya Kinondoni, Bi. Leah Mwankundile, katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika katika ukumbi wa Soko la Magomeni.
"Watoto wetu ndio tegemeo la taifa letu la kesho hivyo endapo tutawatengenezea woga na hofu ndani yao tutakuwa tunachochea ongezeko la ukatili dhidi yao," amesema Bi. Leah. Aidha Bi. Leah aliwaomba watoto hao kutoa taarifa kwa walimu wao au wazazi ili waweze kuwa salama.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.