Mbunge wa Kawe, Mheshimiwa Josephat Gwajima, amewataka Watumishi kuwa waadilifu katika kutatua changamoto za Ardhi.
Alisema, "kuna baadhi ya Watumishi ni chanzo cha migogoro kwa kutotenda haki. Alisema, Mhe. Gwajima Februari 20, 2024 katika Ardhi Clinic Kitaifa iliyofanyika katika Kata ya Bunju ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Jerry Slaa.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.