Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Peter Nsanya Septemba 27, 2024 amekutana na Waganga Wafawidhi wote kutoka Vituo binafsi vya kutolea huduma za afya vilivyopo Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kuwakumbusha utendaji kazi wao katika kutoa huduma za kiafya kwa Wananchi sambamba na kuwahimiza kuendelea kutoa elimu juu ya magonjwa ya mlipuko.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.