Wamiliki wa magari wanaodaiwa ushuru wa maegesho ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wametakiwa kulipa ushuru wa maegesho (Parking) haraka kabla ya Juni 30, 2024 vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Tamko hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Saad Mtambule, Juni 20, 2024 alipokuwa katika Kikao na Viongozi wa Madereva na Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri na Daladala. Alisema, "Natoa wito kwa wale wote wanaodaiwa kodi za maegesho ya magari, watumie kipindi hichi cha wiki moja kulipa madeni yote ya kodi wanazodaiwa kwa wakati."
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.