Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mheshimiwa Saad Mtambule amefanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Kituo cha afya cha Kinondoni leo Aprili 30, 2024. Katika ziara hiyo aliambatana na Katibu Tawala wa Wilaya Bi. Stella Msofe, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Hanifa Suleiman Hamza pamoja na Wataalam mbalimbali kutoka Manispaa ya Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.