"Jiandae kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Wapiga kura na kuhakiki taarifa zako ili uwe na vigezo vya kuchagua Kiongozi umtakae".
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakao fanyika baadae mwaka huu, timu ya hamasa na utoaji wa Elimu juu ya Uchaguzi ya Manispaa ya Kinondoni imewasihi Wananchi wa Kata ya Kigogo kuwa tayari kujiandikisha na kuhakiki taarifa zao.
Timu hiyo ikiongozwa na Afisa Uchaguzi Manispaa ya Kinondoni, Bi. Latifa Almas, Mei 23, 2024 ikiwa Kata ya Kigogo imewataka Wananchi kuhakiki na kujiandikisha mara muda utakapowadia.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.