Zoezi la Ardhi Kliniki lililoongezwa muda wa wiki moja kuanzia Machi 16 hadi 22, 2024 ndani ya Manispaa ya Kinondoni, limefungwa rasmi Machi 22, 2024
Licha ya Wananchi kuipongeza Manispaa ya Kinondoni kwa zoezi hilo, wameomba zoezi hilo kuwa endelevu kwani linarahisisha ufuatiliaji wa masuala ya ardhi.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.