Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule amewataka wanawake wajasiriamali kuachana na mikopo kausha damu.
"Tusiendelee kwenda kuchukua mikopo ile asubuhi unakopa laki mbili jioni unatakiwa kurudisha laki tano".
Ameyasema hayo Novemba 21, 2023 wakati wa ufunguzi wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake kiuchumi ngazi ya Mitaa yanayoendelea katika viwanja vya Biafra. Alisema, "tusiendelee kuchukua mikopo ile ambayo asubuhi unakopa laki mbili, jioni unarudisha laki tano.
Ameongeza kuwa, "Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anawapenda sana na ndiyo maana ameendelea kutoa pesa kwa ajili ya mikopo ya asilimia kumi, kazi yetu sasa kuchangamkia fursa."
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.