Wananchi/wadau/watumishi wote ambao wanapokea huduma kutoka Manispaa ya Kinondoni wanaweza kutoa malalamiko/pongezi/maulizo/mapendekezo ya kuboresha huduma hizo kupitia mfumo kuanzia ngazi ya Kata hadi ofisi za Manispaa.
Malalamiko/pongezi/maulizo/mapendekezo hayo yanaweza kuwasilishwa popote pale ndani na nje ya nchi kwa kutumia huduma ya intaneti kwa kupitia mfumo wa malalamiko kubonyeza sehemu iliyoandikwa Malalamiko.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.